Zimetiririka

Ordinary Time,MarianThanksgiving
Verse 1

Zimetiririka zimetiririka,

Zimetiririka neema za Mungu

Chorus

{ Zimetiririka, neema zimetiririka, neema zimetiririka

Wote tumeinuliwa aleluya } *2n{ Majumbani mwetu (zimetiririka)

Mashambani mwetu (zimetiririka tiririka)

Familia zetu (zimetiririka) tumeinuliwa aleluya } *2

Verse 3

Tazama mimea inavyochanua,

Hizi ni neema kutoka Mbinguni

Verse 4

Tazama bahari na mawimbi yake

Vinashangilia neema za Mungu

Verse 5

Tazama wanyama wanavyopendeza

Ndege wa angani wanaburudisha

Verse 6

Mvua inanyesha jua inawaka

Kuukamilisha utukufu wake

Verse 7

Mchana na usiku vinatuongoza

Kuyafurahia majira ya mwaka

Verse 8

Mbingu zafurahi na mawingu yote

Vinashangilia neema za Mungu