Verse 1
Siku moja Zakayo alimwambia Yesu
Bwana sikiliza mimi nitawapa
Masikini nusu ya mali yangu yote
Bwana sikiliza mimi nitawapa
Masikini nusu ya mali yangu yoten
Verse 2
Kama nimemdhulumu mtu nitamrudishia mara nnen(kiasi hicho) nitamrudishia mara nne
Verse 3
Yesu akamwambia leo wokovu
Umefika katika nyumba hii
Kwa vile huyu pia ni wa ukoo
Ni wa ukoo wa Abrahamu
Verse 4
Kwa maana mwana wa mtu
Amekuja kutafuta
Na kuokoa kilichopotea
Na kuokoa kilichopotea