SectionsOffertoryZaeni Matunda Mema

Zaeni Matunda Mema

Ordinary TimeOffertory
Verse 1

Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale

Zaeni yenye baraka, zaeni ya heri

Chorus

Bwana akiyapokea, yatabarikiwa vyema

Zaeni matunda mema, zaeni ya heri

Verse 3

Safisha mwenendo wako, safisha matendo yako

Safisha na Bwana Yesu, safisha yote

Verse 4

Fanyeni kazi kindugu, fanyeni kazi kwa bidii

Fanyeni na Bwana Yesu, fanyeni na yote

Verse 5

Tolea matendo yako pamoja na moyo wako,

Naye Bwana Mungu wako atakubariki

Verse 6

Baraka za Mungu Baba, baraka za Mungu mwana

Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote