Verse 1
Yumo humu, Mwokozi Yesu,
Kwenye mzabibu, na ngano tamu
Ni mpole ni mwema ni uziman
Chorus
n{ Waumini (haya), simameni,
Polepole (tena), kwa imani,
Jongeeni karamuni (mpate)nmpate kumwonja Mwokozi Yesu } *2
Verse 3
Ekaristi ni jina lake,
Pamoja nasi, Mungu mwenyewe,
Ndani yetu nasi ndani yaken
Verse 4
Alitoa, jioni ile,
Kwa kumbukumbu, yake milele,
Tule tunywe wote tuokoke6.
Verse 5
Tugeuze, maisha yetu,
Yakafanane, na meza hii
Huruma, upendo msamaha
Verse 6
Alisema, twaeni mle,
Twaeni mnywe kwa ukumbusho
Ni mpole, ni mwema, ni mzima
Verse 7
Ekaristi, katuachia,
Chakula bora, tufike kwake,
Ni mpole, ni mwema, ni mzima