SectionsExitYuko Galilaya

Yuko Galilaya

Ordinary Time,MarianExit
Verse 1

Mlichofuata hapa mmepotea,

Mnayetafuta humu hayumo tena,

Ikumbukeni kauli yake yeye imetimia leo mapema onan

Chorus

Galilaya ndiko aliko

Amekwenda

Galilaya ndiko aliko

Amefufuka,

Tuimbe kafufuka leo * 2

Ametangulia,

Galilaya Galilaya Galilaya

Verse 3

Waliowekwa doria wametimua mbio siwaoni tena

Na utukufu na ukuu una yeye Bwana hata milele

Verse 4

Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema

Kwa maana fadhili zake ni za milele