Chorus
Yesu wangu niokoe,n{ Ulimwegu nilimo ni wa mateso
Nishike mkono wangu Bwana niokoe
Ulikuja duniani kwa wadhambi,
Nitakase kwa damuyo Bwana nitakate
Bwana nakukimbilia } *2
Verse 2
Nionyeshe uso wako uso mkunjufu, nisamehe dhambi,
Nakusihi Mwokozi, Bwana unisikie
Verse 3
Nimefanana na mwana mwana mpotevu, dhiki na karaha
Vimenisonga sana Bwana unisikie
Verse 4
Wewe ndiwe ngome yangu ngao yangu tumaini langu
Ninakutegemea Bwana unisikie
Verse 5
Roho yangu mwili wangu vyote ni vyako ndivyo ulivyoumba
Viimarishe Bwana, Bwana unisikie
Verse 6
Mungu Baba Mungu mwamba Mungu mkombozi
Mungu wa mapaji, Utatu Mtakatifu usifiwe milele