Verse 1
Yesu wa Nazareti hukumuni,
Mwana wake Yusuf hukumuni *2
Chorus
Yesu, Pilato asema, wewe ni nani
Unayejivuna mwana wa Mungu
Na Yesu ajibu, Pilato umenena mwenyewe *2
Verse 3
Watumwa wako wote watoroka
Petro amekana hakujui *2
Verse 4
Makuhani wasema umeasi
Umesema ufalme Uyahudi *2