SectionsEucharistYesu Tumaini Langu

Yesu Tumaini Langu

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Yesu ni tumaini langu, tarajio letu

Yesu ni tumaini langu, maishani mwangu

Chorus

Oh! Maishani mwangu huniongoza

Tena tegemeo letu kutukomboan

Verse 3

Nitayapanua mawazo, niweze kuelewanyale mafundisho yake, aliyotufundisha

Verse 4

Ee Roho Mtakatifu, tuwezeshe kuomba

Tufuate Mwokozi Yesu kiongozi mwema

Verse 5

Kwenye shinda na furaha, Bwana utujalie

Kuona mapenzi yako, kwa macho ya imani