SectionsBible ProcessionYesu Ni Mwangaza

Yesu Ni Mwangaza

Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Ndipo ukatema mate, aridhini, ukalifanya tope, mkononi

Ukampaka kipofu , ma-choni, macho yakafunguka, akaona,

Na mimi ni kipofu, nifumbue, macho ya roho yangu, kwa maana

Chorus

{n{ / s/ Mwangaza ni wewe, Mwokozi ni wewe

Mwalimu ni wewe, Kiongozi ni wewen/ w / Ni wewe mwangaza na ni wewe Mwokozi

Ni wewe mwalimu na ni wewe kiongozi } *2 Yesun} *2

Verse 3

Ukamshusha kutoka, kwenye mti, Yule mtu mfupi, wa ushuru

Ukala nyumbani mwake, Zakayo, na ukamfundisha, kugeuka

Naye akakusikia, mwalimu, kageuza mwenendo, kwa maanan

Verse 4

Naomba niongoze, ee Yesu, nibadili mwenendo, nigeuke

Njia inipotoshayo, niiache, uniponye usugu, wa moyoni

Dhambi niirudiayo, niishinde, nifundishe niweze, kwa maana