Yesu Mwema

Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,LentEucharist
Verse 1

Yesu mwema najitolea kwako

Kwa leo hii na siku zote

Nafsi yangu na moyo wangu wote

Heri kweli, heri kweli

Heri kweli raha ya uwingu x2n

Ndani mwangu umekuja daima

Kuwa nami ni upendo wako

Ewe mpenzi mwenye utamu mwingi

Ni mapendo, ni mapendo

Ni mapendo ya moyo wako x2n

Nitaweza kukurudishia nini

Kwa wema huu na pendo lako

Roho yangu umeifadhilia

Nikupende, nikupende

Nikupende ni tamaa yangu x2n

Weka Rabi katika roho yangu

Wema wako na unyenyekevu

Na pendo kuu fadhila na amani

Niongoze, niongoze

Niongoze katika amani x2

Chorus

Oh! Maishani mwangu huniongoza

Tena tegemeo letu kutukomboa

Verse 3

Nitayapanua mawazo, niweze kuelewanyale mafundisho yake, aliyotufundishan

Ee Roho Mtakatifu, tuwezeshe kuomba

Tufuate Mwokozi Yesu kiongozi mweman

Kwenye shida na furaha, Bwana utujalie

Kuona mapenzi yako, kwa macho ya imani