Chorus
Yesu, Mwana wa mungu (*2),nleo amefufuka. Piga vigelegele (*2),nleo amefufuka.
Verse 2
Yesu, Mwana wa Mungu,
Kweli amefufuka.
Ahadi yatimia, mzima amefufuka.
Verse 3
Kristu mshindaji mkubwa, ametupatanishanna Babaye mbinguni, kwa damuye azizi.
Verse 4
Kristu Mwana-kondoo, amechinjwa sadaka.
Tu-ile karamuye, tuimbe aleluya.
Verse 5
Kristu mchungaji mwema, alitoa maishankwa ajili ya kondoo, mzima amefufuka
Verse 6
Kristu aliuawa, katika udhaifu.
Anaishi daima, Kwa nguvu yake Mungu.
Verse 7
Nendeni duniani, kuhubiri Injili.
Wote wabatizwao, mbingu wataurithi
Verse 8
Nitawahubiria, ndugu zangu daima
Jina lako tukufu, nitakusifu sana.
Verse 9
Leo ndiyo sikukuu, ilifanywa na Mungu.
Umefunguka mbingu, Kwa ushindi wa Yesu