Chorus
{ Yesu msalabani, alipotundikwa
Hakuwa na dhambi, mkombozi wetu } *2
Dhambi zetu nyingi sana, ndizo zilimtesa
Hakuwa na kosa, mkombozi wetu
Verse 2
Aliteswa msalabani kwa ajili ya ukombozi wetu sisi
Verse 3
Akasubulibiwa kwa ajili ya ukombozi wetu sisi