Yesu mbona unatokwa jasho la damu
Yesu mbona unachukua msalaba mzito
Kwa ajili yako wewe mdhambi ili nikukomboe *2
Rudi ewe mdhambi utubu, uje kwangu
Nimekuja kwa ajili yako wewe mdhambi