SectionsExitYesu Kristu Ni Mfalme

Yesu Kristu Ni Mfalme

MarianExit
Chorus

Yesu Kristu ni mfalme-

Ni mfalme wa wafalme, Ni Bwana wa mabwana

Utawala wake si wa dunia hii [Dunia hii]

Utawala wake ni wa Mbinguni

Verse 2

Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii (kweli)

Hakika angekuwa na jeshi lake la kumlinda

Verse 3

Utawala wake Yesu ungekuwa ni dunia hiin(kweli) Hakika angekuwa na serikali ya kuiongoza

Verse 4

Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hiin(kweli) Kamwe asingekufa kwa ajili yetu sisi wanadamu