SectionsExitYesu Kanikuta Jangwani

Yesu Kanikuta Jangwani

LentExit
Verse 1

Yesu kanikuta jangwani, akaniambia, nenda huko Yerusaleme

Yesu kanikuta gizani, akasema, kimbilia Yerusaleme

Chorus

Mimi ni kipofu ni mauti (mimi ni mauti)

Mimi ni kipofu sioni (mimi sioni)n{ Kulikuwa giza, kukapambazuka

Nikamwona Bwana Bwana wangu }*2

Verse 3

Natamani mji ule, Yerusaleme kuna nuru kuna raha

Dhambi zangu matendo yangu, ni maovu, tazameni msalabanin

Chorus

Upindo wa nguo (nguo yako safi)

Upindo wa nguo (nguo yako nzuri)n{ Uniguse moyo, moyoni mwangu

Nitaimba sifa sifa zako } *2

Verse 5

Watakatifu wa moyo, tumsifuni, Bwana mwenye nchi na mbingu

Twende huko nchi ya mbali, ya Kanaani ndiko tutaishi milele

Chorus

{ Fimbo yake Musa ilituokoa

Fimbo yake Musa, ilituongozan{ Nchi ile ya Misri (nchi ya farao)

Tulimwona Bwana mwenye enzi } }*2