Verse 1
Yesuamefufuka *2 ametoka kaburini
Haya shangilia *2 ametoka kabrurini *2
Verse 2
Shetani, - ameshindwa *2 hana lake duniani
Haya shangilia *2 hana lake duniani *2n
Verse 3
Yesukatokea *2 Wanafunzi wake wote
Haya shangilia *2 wanafunzi wake wote*2
Verse 4
Amani iwe kwenu*2 mpokee roho yangu
Haya shangilia *2 mpokee roho yangu *2
Verse 5
Bwana Yesu kapaa *2, sasa yu juu mbinguni
Haya shangilia *2 sasa yu juu mbinguni*2
Verse 6
SasaKristu huketi *2 kuumeni kwa Baba
Haya shangilia *2 kuumeni kwa Baba *2