Chorus
n{Yesu akawaambia, amini nawaambieni
Msipoula mwili wake mwana wa Adamu,
Na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu } * 2
Verse 2
Yule aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu
Anao uzima wa milele
Verse 3
Chakula nikitoacho ndio mwili wangu
Kuleni mpate kuokoka
Verse 4
Hiki ni chakula kweli pia na damu yangu
Vilivyoshuka kutoka Mbinguni