Yesu Akasema

LentThanksgiving
Chorus

Yesu Akasema, amini nawaambia,nmmoja wenu anayekula nami atanitasaliti *2

Wakahuzunika, wakaanza kusema,nje ni mimi je ni mimi ni mimi Bwana (Yesu)

Akawaambia ni mmoja wa hao thenasharanambaye achovya nami katika kikombe *2

Verse 2

Lakini ole wake mtu yule anayemsaliti mwana wa Adamu

Ingekuwa heri kwake kama asingelizaliwa

Verse 3

[v] Nao walipokwisha kuila,n[w] Walipanda mlima wa Mizeitunin