Chorus
Yesu akalia kwa sauti kubwa,n{ Akasema,
Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu } *2
Verse 2
Alipokwisha kusema hayo, akakata roho
Yule akida alipoona hayo, akasema
Huyo hakika alikuwa mwana wa Mungu
Verse 3
Na makutano yote ya watu, waloshuhudia
Wakafadhaika wakaenda zao, wakiomba
Wakapigapiga vifua kuomba toba
Verse 4
Na wote waliojuana naye, waloandamana
Wakimfuata toka Galilaya, kwa pamoja,
Wakasimama wakitazama mambo hayo.