SectionsExitYe Taata

Ye Taata

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Ye Taata, Oyo ye Taata…x2

Ye Taata wange omulungi Omutibwa x2

Ye Taata.

Chorus

My Father, You are my Father…x2

You are my Lord you are My God

You are my King…x2 my Father.

Chorus

Ee Baba, wewe ni Baba…x2 wewe ni

Baba, Baba yetu wa mbinguni x2

Verse 4

Kazaliwa maskini kwenye zizi Marianakamfunika kwa nyasi kwa ‘jili yetunalishuka kwenye cheo (Ee Baba) asantensana ewe Yesu wa mbinguni Ee Baba.

Verse 5

Alishikwa, akapigwa, akateswa na matenakatemewa Kwa uso kwa ‘jili yetu hivyonvyote alikubali (Ee Baba) kwa ‘jili yetunalidungwa, ili nipone Ee Baba

Verse 6

Kafufuka akapaa juu mbinguni akatuma

Roho Mtakatifu kwetu atuwezeshankusamehe na kumwabudu (Ee Babanatuwezesha kuwa naye, maishani Ee Baba.