SectionsBible ProcessionYatangazeni Mliyoyasikia

Yatangazeni Mliyoyasikia

Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus

Nendeni na amani, misa imekwisha

Nendeni mkayatangazeni yote mliyoyasikia

Katika masomo injili na mahubiri.

Tazama Kristu Bwana yupo nasi daima-

Daima mpaka ukamilifu wa dahari

Verse 2

Neema na baraka mlizozipata

Zikae nanyi siku zote

Verse 3

Ishi kwa upendo amani umojanmatunda ya Ekaristia

Verse 4

Na yahubirini mliyoyasikiankwa matendo na miendo yenu