Chorus
{Ya nini malumbano hayo
Ya nini malumbano hayo ndani ya moyo wako} *2
Chorus
Chagua kuwa moto au baridi sio vuguvugunewe Mkristu utaponea wapi wewe
Chagua kuwa moto au baridi sio vuguvugunewe Mkristu utaponea wapi wewe
Verse 3
Asubuhi kanisani na jioni kwa waganga
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Yesu unamhitaji na dunia unaipenda
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Verse 4
Imani bila matendo haifai kitu kwa Bwana
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Angalia wadhulumu maskini na wahitaji
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Verse 5
Uongo unaongea kutwa kucha wala huchoki
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Rushwa unapokea majivuno wala huachi
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe