Chorus
{ Wote wakajazwa, Roho Mtakatifu
Wakisema matendo makuu ya Mungu aleluya } *2
Verse 2
Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia,
Petro akasema kwa sauti kubwa
Verse 3
Watu wa Uyahudi, na ninyi wote
Jueni jambo hili mkasikilize
Verse 4
Tubuni kila mmoja mkabatizwe
Nanyi mtapokea Roho Mtakatifu
Verse 5
Wengi walidhihaki na kusema
Wa-melewa kwa nyimbo mpya
Verse 6
Yesu huyo Mungu alimfuata
Na sisi sote tu mashahidi wake