Wewe Ni Mungu

Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

// u t a n g u l i z i //n

Sikia aa sikia Bwana,

Sikia aa sikia Bwana sauti yangu

Sikia aa sikia leo

Sikia aa sikia Bwana sauti yangu.n

Verse 2

Hii sauti inabeba hisia zangu

Zilizomo moyoni mwangu sikia Bwana sauti yangu

Verse 3

Naeleza furaha niliyo nayo

Na hamu ya kukushukuru sikia Bwana sauti yangu.

Verse 4

Nakufunulia moyo wangu uko wazi,

Nakumiminia, sifa na tenzi Mwenyezi,

Napiga kelele usikie Bwana sauti yangun

Verse 5

Sikia aa sikia Bwana ( Mungu we)

Sikia aa sikia Bwana sauti ya moyo,

Moyo,moyo, wangu moyo, moyo, moyo ha ha-

Chorus

n// k i i t i k i o //

Nimejua ya kwamba - wewe ni Mungu kila wakati

Naona wazi kwamba - wewe ni Mungu kila wakati

Kwenye furaha - wewe ni Mungu kila wakati

Na kwenye magumu bado- wewe ni Mungu kila wakati

Haupungui neno - wewe ni Mungu kila wakatii

Verse 7

n// m a s h a i r i //

Hukutaka raha zinipe kiburi -naeee eee ukanipimia.

Na taabu ziliponishambulia - -nukafungua (Bwana) mlango nikatoka salama.

Verse 8

Na vipaji ona hukunipa vyote -naaee eee ukanipimia.

Ingawaje nilipoweka juhudi -nukafungua( Bwana) mlango nikatoka salama.

Verse 9

Sikuumbwa msafi kama ulivyo,naaee eee ukanipimia.

Hata hivyo dhambi iliponisonga,nukafungua ( Bwana) mlango nikatoka salama.n

Verse 10

n// h i t i m i s h o //n

Yeyeyeye yeyeyeyeye yeyeyeyeyeeeeeen

Verse 11

Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia

Maana utukufu ni wako milele na milele-

Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia

Maana utukufu ni wako milele na milele.

Verse 12

Nakuja nimebeba shangwe, na chereko

Nakuja nimebeba kinanda watu wakuimbie-

Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia

Maana utukufu ni wako milele na milele.n

Verse 13

Nakuja nimebeba sifa kukupambannakuja nimebeba maua jama watu wakutukuze-

Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia

Maana utukufu ni wako milele na milele.

Verse 14

Milele na milele, milele na milele,nmilele na milele,milele ni Mungu wa pekee...*5

Verse 15

n* (Bass) Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana,nwe ni mwema, utabaki Mungu X2n* ( Tenor) wewe ni wa kwanza ni Mungu weee, wewe ni wa mwisho eee

Unaitwa Alfa ni Mungu wee, wewe ni Omega eee