SectionsExitWewe Ndiwe Petro

Wewe Ndiwe Petro

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Wewe ndiwe Petro, wewe ndiwe Petro

Na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langun{Wala milango (wala milango) ya kuzimu (ya kuzimu) haitalishinda } *2

Verse 2

Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa Mbinguni

Na lolote utakalolifunga dunia litakuwa limefungwa Mbinguni

Verse 3

Na lolote utakalo fungua duniani litakuwa limefunguliwa Mbinguni