Wewe Ndiwe Kuhani
Ordinary TimeBible Procession
Chorus
Wewe ndiwe kuhani milele hata milele * 2
Umetakaswa kuhani, uko na kundi kuhani
Chunga, chunga Kondoo *2 Chunga kondooo
Verse 2
Msalaba unaubeba kuhani mkuu, chunga kondoo
Verse 3
Sisi sote kama kondoo tuombe, atupe bara-ka
Verse 4
Taifa lake Mungu Baba lataka neno, chunga kondoo