SectionsExitWewe Bwana

Wewe Bwana

Lent,Lent,LentExit
Chorus

Wewe Bwana, wewe Bwana,nwewe Bwana, nifadhili.

Verse 2

Wewe ni Mungu wangu, unionee huruma

Verse 3

Wewe, ee Bwana, u mwema,nu tayari kusamehe.

Verse 4

Wewe u mwingi wa fadhili,nkwa wote wakuombao

Verse 5

Usikie sala yangu,nuangalie kilio cha ombi langu

Verse 6

Wewe ni Mungu wa rehema,nwewe ni mvumilivu.

Verse 7

Uniokoe mimi mtumishi wako,nninayekutegemea.