Chorus
Wewe Bwana, wewe Bwana
Wewe Bwana nifadhili
Verse 2
Wewe ni Mungu wangu
Unionee huruma
Verse 3
Wewe ee Bwana u mwema
U tayari kusamehe
Verse 4
Wewe u mwingi wa fadhili
Kwa wote wakuombao
Verse 5
Usikie sala yangu
Uangalie kilio cha ombi langu
Verse 6
Wewe ni Mungu wa rehema
Wewe ni mvumilivu
Verse 7
Uniokoe mimi mtumishi wako
Ninayekutegemea