Chorus
Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana *2
Bwana - ni jabali langu (na boma)
Na boma langu, boma na Mwokozi wangu
Verse 2
Mungu wangu Mwamba wangu ninayemkimbilia
Ngao pembe boma ya wokovu wangu
Nitamwita Bwana asitahiliye kusifiwa.n
Verse 3
Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu,
Ampa mfalme ampa mfalme wake mkuu
Amfanyia fadhili masiha wake.n