SectionsExitWewe Bwana Nguvu Yangu

Wewe Bwana Nguvu Yangu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Wewe Bwana nguvu yangu nakupenda sana wewe

Bwana ni jabali langu ni jabali na boma langu na Mwokozi wangu

Verse 2

Mungu wangu Mwamba wangu ninayekukimbilia

Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu

Verse 3

Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa

Hivyo nitaokoka na adui zangu

Verse 4

Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu

Ampa wokovu mkuu amfanyia fadhili masihi wake