SectionsExitWawili Wakitembea Pamoja

Wawili Wakitembea Pamoja

WeddingExit
Chorus

Ukiona wawili wakitembea pamoja,nhao kweli wameamua waishi pamoja.

Kweli hawezi tembea pamoja,lnhawajakubaliana;nkweli (hawa, wamekubaliana waishi pamoja kwa upendo *2)

Verse 2

Tunamuona huyu ndugu, wameshikana na huyu dada;nwakitembea pamoja, (unyo unyo unyo unyo),nhawa kweli Bwana na Bi Arusi.

Verse 3

Mungu Baba awajalie, maisha mema katika ndoa;nwapendane siku zote, (pendo pendo pendo pendo),nvile wewe wpenda kanisa.

Verse 4

Ndugu mpende mke wako, vile Yesu apenda kanisa;nnawe dada mtii, (mume mume mume wako) mjenge familia pamoja.

Verse 5

Wape watoto Ee Mungu, kama pendo lako kwao;nnao waimbe nyimbo nzuri,(ti ri ri ri ri ri ri ri ri),nwakusifu milele yote.