Chorus
Waamini tuwe na juhudi kulijenga kanisa letu *2n{ Tutoe kwa ukarimu, sehemu ya mali yetu
Aliyotujalia Mwenyezi Mungu } *2
Verse 2
Waumini tuwe tayari daima kujitolea kwa hali na mali
Na kwa ukarimu sote tulijenge kanisa letu
Verse 3
Waumini amkeni tuwajibike kulijenga hekalu la Mungu
Ndiyo nyumba ya sala na ibada takatifu
Verse 4
Kanisa litajengwa na sisi wenyewe, kwa hivyo waumini
Tufanye juhudi kutoa michango yetu