Chorus
 Waumini tutaitwa (tutaitwa majina)n Waumini tutaitwa (tutaitwa )n Waumini tutaimba, tutaimba na Yesu *2n Aleluya (kweli) tutaimba (kwa shangwe)n Aleluya milele yote (yote)n Tukiwa naye Yesu uso kwa uso tutashangilia *2
Verse 2
Moyo wangu *2 umtukuze (tukuze yeye)
Moyo wangu umuimbie, (moyo wangu *2)
Moyo wangu umuabudu yeye mwenye adili *2
Verse 3
Wanaheri *2 wanaokwenda (kwenda kwa Yesu)
Ili Yesu awasamehe, (ili Yesu ili Yesu)
Siku Bwana atarudi, watafunguliwa *2n
Verse 4
Jitahidi*2 ukahakikishe (kishe ya kwamba)
Tayari umekubaliwa (tayari tayari)
Kuingia au kufika lango Yerusalemu *2