Watu wote waimba, Halleluiah Hosanna
Yesu amezaliwa, Mwokozi wa dunia,
Mwokozi wa yatima, Mwokozi wamataifa,
Mwokozi wa wajane, Mwokozi wa wagonjwa
Hosanna halleluiah, halleluiah hosanna
Mwimbieni Bwana, Halleluiah Hosanna
Kelele za shangwe, wakina baba waimba,nwakina mama waimba, watoto wotenwaimba, vijana wote waimba,
Yesu amefufuka
Hosanna halleluiah, Halleluiah hosanna
Enyi watu wote, mpigieni Mungu kelele zanshangwe, pigeni makof, pigeni kinandannyimbo za furaha,nnyimbo za zaburi
Hosanna halleluiah, Halleluiah hosanna
Heri walio maskini, heri wenye huzuninheri wenye upole, heri wenye njaa, herinwenye rehema, heri wenye moyo saf,nheri wenye kiu
Hosana Halleluiah, Halleluiah Hosanna
Sisi sote twaimba, Yesu ni Bwana Mwumbanwa dunia, Mwumba wa mbinguni, Mfalmenwa amani, Mfalme wa upendo,
Mfalme wa furaha
Hosanna Halleluiah, Halleluiah hosanna.
Yesu ni Bwana, Yesu ni Mungu, Yesu ni
Mfalme, Yesu ni Baba, Yesu ni rafki Yesunni mponyaji, Yesu ni Mkombozi
Hosanna Halleluiah, Halleluiah hosanna.
Mungu Baba Halleluiah Halleluiah
Hosanna, Mungu Mwana Halleluia
Mungu Roho Halleluia, Mungu Moja
Halleluia, Halleluiah Hosana,