SectionsBible ProcessionWatu Wote Watangazieni

Watu Wote Watangazieni

Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Watu wote watangazieni neno la Muumba

Mungu, wamwamini na kutubu yote *2

Chorus

Wambi - waambieni watu wote leo

Wamwa - wamwamini Bwana Yesu kweli

Na ku - na kushika neno lake Bwana

Na ku - na kuomba kwa Muumba Mungu *2

Verse 3

Wale wote tuliomwamini Bwana

Atakaporudi, tutakwenda naye juu mbingunin

Verse 4

Watu wote wasiomwamini Bwana

Atakaporudi, watalia na shetani nao.

Verse 5

Ndugu zetu tuliomwamini Bwana

Tutakapokwenda, duniani moto utawaka