SectionsThanksgivingWatu Na Washukuru

Watu Na Washukuru

Ordinary Time,MarianThanksgiving
Chorus

{ Watu na wakushukuru,

Watu na wakushukuru ee Mungu, wakushukuru } *2n{ Na wakushukuru , wakushukuru *2

Ee Mungu, watu wote na wakushukuru Mungu } *2

Verse 2

Mungu na atufadhili na kutuangazia,

Kutuangazia uso waken

Verse 3

Njia yake ijulikane duniani kote,

Wokovu wake kwa mataifa yote

Verse 4

Nchi imetoa imetoa mazao yake,

Mungu wetu ametubariki

Verse 5

Mungu atubariki na atatubariki

Miisho yote ya dunia itamchan