SectionsEucharistWateule Wa Bwana

Wateule Wa Bwana

Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

{Wateule wa Bwana, Karibuni mezani pake, njooni

Bwana awaalika enyi wenye moyo safi} *2n

Chorus

n{Amewaandalia, leo, karamu takatifu

Mwili na damu yake chakula safi cha roho} *2

Verse 3

Kwanza tuzitakase nafsi zetu wenyewe

Tukisha kutakasa, tuje mbele zaken

Verse 4

Karibuni mezani, Bwana awaalika

Kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safin

Verse 5

Na tule mwili wake, na tunywe damu yake

Ndicho chakula bora, cha rohoni karibuni