Chorus
{Wastahili, wastahili kusifiwa ee Bwanankusifiwa na kutukuzwa na viumbe vyako }*2n
Chorus
Mbingu na dunia zimejaa sifa zako, sifa zako ee Bwana *2n{Pokea masifu ya viumbe vyako - uhimidiwe milele aleluya
Bwana wa mabwana - uhimidiwe - uhimidiwe milele aleluya }*2
Verse 3
Malaika mbinguni wanakuhimidi wewe wakusifu milele, ee Bwana
Verse 4
Milima na mabonde, miti yote ya porini vyakusifu milele, ee Bwanan
Verse 5
Wanyama wa porini na wanyama wafugwao wakusifu milele, ee Bwana
Verse 6
Samaki baharini nao ndege wa angani wakusifu milele, ee Bwana