Chorus
Wastahili Bwana, wastahili Bwana,nulikufa msalabani niokolewenwastahili Bwananwastahili Bwana wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu sasa ni hurunwastahili Bwana
Verse 2
Uliacha utukufu wako, ukaishi kati yetunkwa mapendo ulipatwa na simanzi,nulinifya wastahili Yesu!
Verse 3
Uliwekwa kaburini Bwana, ukafufukanwewe Bwana wangu ulipaa juu mbinguninna watawala, nakusifu yesu!