Washuhuda Wa Yesu
Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1
Alipopaa mbinguni aliteka mateka,
Akawapa wanadamu vipawa
Chorus
Kwa wengine zawadi yao ilikuwa wawe manabii
Na kwa wengine wawe wachungaji wainjilisti na walimu
Chorus
n{ Lakini sisi tumetolewa kuwa mitume
Tuwe washuhuda wa Yesu Kristu } *2
Verse 4
[ s ] Kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu
Hata kazi ya huduma yake Kristu itendeke
Hata mwili wa Kristu nao ujengwen
Verse 5
Sisi sote tutakapofikia umoja wa imani
Kumfahamu Mwana wa Mungu na kuwa mtu mkamilifu
Kimo cha utimilifu, wa Yesu Kristu
Verse 6
Ili tusiwe tena watoto tukitupwa huku na huku
Na kuchukuliwa kila kila upepo wa elimu
Tukizifuata njia za udanganyifu