Walinizunguka Kama Nyuki
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Walinizunguka kama nyuki, (lakini)
Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani
Walinizunguka kama nyuki, (adui)
Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani
Verse 2
Mataifa yote yalinizunguka mimi, kweli , walinizungunka mimi
Kwa jina la bwana niliwapatilia mbali
Wote walionisumbua
Verse 3
Kwani Bwana yuko upande wangu mimi anisaidia, sitaogopa
Nanitawaona wanaonichukia hakika nitawaona wameshindwa
Verse 4
Heri yetu sote kumkimbila Bwana Mungu kuliko wanadamu
Heri yetu sote kumkimbila Bwana kuliko kutumanina wakuu