Wakuabudiwa
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe
Mungu wakupewa sifa, na utukufu,nni wewe Mungu Mungu mwenye nguvu,nwastahili heshima zote hakuna mwinginenwa kulinganishwa na wewe Mungu x2
Verse 2
Umesema wewe, jina lako liko liliko ninwe Mungu unafanya mambo yaliyo juunya fahamu zetu Mungu ukisema ndiyo,nnani awezaye kupinga? hakuna wewenunatupa kushinda na zaidi ya kushindanunatupandisha utukufu hadi utukufu x2
Verse 3
Uzima wetu uko mikononi mwako Mungununawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu
Mungu unawanyeshea mvua wemanna waovu mungu wanadamu nani wankulinganishwa na wewe nani wenye nguvunwa kusimama mbele yako Mungu x2