SectionsEntranceWakristu Wote Simameni

Wakristu Wote Simameni

Ordinary Time,MarianEntrance
Verse 1

Wakristu wote simameni, simameni

Tuchezeni mbele za Bwana, kwa shukrani

Chorus

(Leo) Asubuhi na mchana nitamsifu (Bwana)

Na usiku nitaita jina la Bwana (wangu)

Sifa zake zi kinywani mwangu daima

Nitaimba sifa zake Mungu milele

Verse 3

Tupeperusheni mikono juu hewani

Tushangilieni tupigeni makofi

Verse 4

Ametulisha kwa chakula cha mbinguni

Twaburudika kwa kinywaji cha uzima

Verse 5

Ametukinga na maovu ya dunia

Mapenzi yake kwetu sisi ni ya ajabu

Verse 6

Turukeruke na tucheze kama ndama

Tupigeni ngoma kayamba na vinanda