Chorus
Waipeleka Roho, waipeleka Roho yako Ee Bwana,
Roho yako ee Bwana (Ee Bwana)
Nawe waufanya upya, uso wa dunia aleluya x 2
Verse 2
Njoo Roho Mtakatifu, uijaze nyoyo ya waamini, na uwashe ndani yao upendo wako.n
Verse 3
Ee Nafsi yangu, umhimidi Bwana, wewe Mungu wangu, na imejifanya kuwa mkuu sana.
Verse 4
Ee Bwana Mungu wangu, jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako.n