SectionsExitWaipeleka Roho Yako

Waipeleka Roho Yako

PentecostalExit
Chorus

Waipeleka Roho Yako ee Bwana

Nawe waufanya upya uso wa nchi

Waipeleka Roho Yako ee Bwana

Nawe waufanya upya uso wa nchi

Verse 2

Ee nafsi yangu umhimidi Bwana

Wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana

Ee Bwana jinsi yalivyo mengi matendo yako

Dunia imejaa mali zako

Verse 3

Waiondoa pumzi yao wanakufa

Na kuyarudia mavumbi yao

Waipeleka Roho yako wanaumbwa

Nawe waufanya upya uso wa nchi

Verse 4

Utukufu wa Bwana na udumu milele

Bwana na ayafurahie matendo yake

Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake

Mimi nitamfurahia Bwana