SectionsExitWachungaji Wakaenda Kwa Haraka

Wachungaji Wakaenda Kwa Haraka

ChristmasExit
Chorus

Wachungaji wakaenda kwa harakanwakamkuta Maria na Yosefu (na yule)

Mtoto mchanga amelala amelala horini

Verse 2

Malaika akawaambi, ninyi,nmsiogope nawaletea habari njema

Verse 3

Ya furaha kuu itakayokuwankwa watu wote Mwokozi wenu amezaliwa

Verse 4

Katika mji wa Daudi, leo,namezaliwa Mwokozi ndiye Kristu Bwana