SectionsEntranceWaambieni Watu

Waambieni Watu

AdventEntrance
Chorus

Waambieni watu walio na moyo wa hofu x2n(Jipeni moyo, msiogope (ogope)n[kwa maana]. Tazama Mungu wenu nakujankuwaokoa nyinyi ) x2

Verse 2

Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu (Nanfanyeni imara magoti yaliyolegea) x2n

Ndipo macho ya vipofu yatafunguliwan(Na masikio ya viziwi yatazinduliwa) x2n

Ndipo na kilema atarukarukan(Na ulimi wake bubu ndipo utakapoimba ) x2n

Na katika nyika maji yatabumbujika,n(Na nchi yenye kiu itakuwa chemichemi) x2