Chorus
Viuzeni mlivyo navyo, mkavitoe sadaka
Kwa kuwa mnajiwekea hazina yenu mbingunin(Ndugu) kwa kuwa mnajiwekea Mbinguni
Verse 2
Rudisheni kwake Bwana ni mali yake, viuzeni
Verse 3
Onyesheni moyo safi wa ukarimu, viuzeni
Verse 4
Msidhani mwapoteza, mlivyo navyo, viuzeni