Verse 1
Vipaji vyetu - pokea Bwana pokea
Tulivyo navyo - ee (Bwana pokea *2)
Chorus
Pokea pokea pokea Bwana Pokea *2
Verse 3
Matunda yetu. . .
Mazao yetu . . .
Verse 4
Mioyo yetu. . .
Maisha yetu . . .
Verse 5
Matendo yetu. . .
Magumu yetu . . .
Vipaji vyetu - pokea Bwana pokea
Tulivyo navyo - ee (Bwana pokea *2)
Pokea pokea pokea Bwana Pokea *2
Matunda yetu. . .
Mazao yetu . . .
Mioyo yetu. . .
Maisha yetu . . .
Matendo yetu. . .
Magumu yetu . . .