Chorus
{ Vipaji hivi ni kama dhabihu yenye harufu nzuri (nzuri)
Sadaka inayokubaliwa na kumpendeza Mungu } *2n{(tutoe) Kwa furaha tutoe (tutoe)n(tutoe) Kwa imani tutoe (tutoe)n(tutoe) Kwa mapendo tutoe (tutoe)
Na tutoe kwa shukrani } *2
Verse 2
Tupeleke, mazao ya shamba
Tupeleke. nayo mifugo
Tupeleke, vilivyo vinono
Kama sadaka ya Abeli
Verse 3
Nazo fedha, ni mali ya Bwana
Tumepata, kwa neema zake
Tupeleke, kwa moyo wa sala
Tupeleke, shukrani zetu
Verse 4
Tupeleke, nazo nafsi zetu
Tupeleke, kama dhabihu
Tumwombe Mungu atubariki
Tukatende, impendezavyon